1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya Yako: Fahamu mengi zaidi kuhusu ganzi

Ruth Alonga18 Aprili 2023

Ganzi ni hisia ya kupoteza fahamu ama hisia katika sehemu moja ya mwili. Inaweza kutokea katika sehemu yoyote ya mwili, lakini huhisiwa zaidi mikononi na miguuni.

https://p.dw.com/p/4QESO