1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya katika eneo la kazi

Sylvia Mwehozi
19 Aprili 2017

Afya katika eneo la kazi huzingatia vigezo kadhaa ambavyo vinaweza kupelekea magonjwa mbalimbali ikiwemo saratani, ajali, magonjwa ya kupumua, kupoteza uwezo wa kusikia na kuona, mfadhaiko na magonjwa mengine ya kuambukiza. Je ni yapi yanaweza kuhatarisha afya yako pale unapokuwa kazini? Sylvia Mwehozi ana majibu katika makala ya Afya Yako.

https://p.dw.com/p/2bTme