1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki: Malumbano ya kisiasa Kenya na machafuko DRC

Amina Mjahid10 Februari 2023

Kwenye makala ya Afrika Wiki Hii, Miongoni mwa utakayoyasikia ni pamoja na mapambano kati ya jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23, Malumbano ya kisiasa Kenya na ziara ya Lavrov barani Afrika.

https://p.dw.com/p/4NKte