1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii

Angela Mdungu9 Agosti 2024

Nchini Kenya Polisi wakabiliana na vijana waliodhamiria kumwondoa Rais Ruto madarakani +++Mahakama ya kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ,imemhukumu adhabu ya kifo kiongozi wa kundi la waasi la Congo River Alliance, Corneille Nangaa+++Maandamano ya kupinga ugumu wa maisha yalivyoitikisa Nigeria. Ungana naye Angela Mdungu kufahamu zaidi.

https://p.dw.com/p/4jIq4