Afrika, ukabila na siasa
11 Juni 2012Matangazo
Othman Miraji anaongoza kipindi cha Maoni kutoka Deutsche Welle, ambapo mada tete ya ukabila na siasa barani Afrika inajadiliwa. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama za spika za masikioni hapo chini.
Kipindi: Maoni
Mtayarishaji: Othman Miraji
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman