1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Kusini yaomboleza kifo cha Winnie Mandela

Yusra Buwayhid
3 Aprili 2018

Wananchi wa Afrika Kusini waomboleza kifo cha Winnie Mandela, aliyekuwa mke wa Rais wa kwanza mweusi nchini humo Nelson Mandela. Winnie aiga dunia akiwa na umeri wa miaka 81.

https://p.dw.com/p/2vPXf