Seneta wa juu kabisa wa chama cha Democrat, jana amesema Mkurugenzi wa Shirika la upelelezi wa ndani la Marekani FBI James Comey anaweza kuwa amevunja sheria// Polisi nchini Uturuki inawashikilia waandishi kadhaa wa habari na mhariri mkuu wa gazeti la upinzani la Cumhuriyet // Tanzania imesema imeanza kuelemewa na mzigo wa wakimbizi wa Burundi wanaoendelea kumiminika kwa wingi nchini humo.