Mzozo wa ghuba unaoitikisa Qatar baada ya kutengwa na majirani zake wa Kiarabu licha yakuwa mbali na Afrika umeiathiri kanda ya Afrika Mashariki// Nchini Uganda Mgomo wa majaji na mahakimu wakidai nyongeza ya mishahara kwa hadi asli mia 100 hadi jana uliingia siku yake ya nne// Leo imetimia miaka 20 kamili tangu kufariki dunia kwa Princess Diana wa Uingereza katika ajali ya gari mjini Paris.