Nchini Kenya meneja wa teknolojia na mawasiliano katika tume ya IEBC, Chris Musando amepatikana ameuawa siku tatu baada ya kutoweka// Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimekosoa vikali sera za serikali ya Rais John Magufuli// Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuna taarifa za kuibuka makabiliano kati ya polisi na makundi ya waandamanaji.