Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amefanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri na kumuondoa waziri wake wa fedha Pravin Gordhan// Rais wa Umoja wa Ulaya, Donald Tusk leo hii ameeleza mipango yake juu ya mazunguzmzo ya Uingereza kujiondoa Umoja wa Ulaya, BREXIT.