Kundi la Hamas linaloudhibiti Ukanda wa Gaza limesema wamefikia makubaliano ya kusitisha mapigano na Israel// Vyama vikuu nchini Italia vimefufua juhudi za kuunda serikali ya mseto, //Polisi ya Msumbiji imesema kuwa watu 10 wamechinjwa na kundi la watu wenye silaha katika jimbo la kaskazini mwa nchi hiyo la Cabo Delgado.