Rais wa Ukraine President Petro Poroshenko amemtuhumu mwenzake wa Urusi Vladimir Putin kwa kutaka kuinyakua nchi yake // Ujerumani itaongeza ufadhili wake kwa nchi zinazoendelea ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi // Na Ubalozi wa Marekani nchini Congo utafungwa leo kwa siku ya nne mfululizo kufuatia habari za kitisho cha kigaidi