Wakaazi wa maeneo ya Kasese magharibi mwa Uganda wako katika hali ya taharuki kufuatia mauaji ya watu 62// Hali ya wasiwasi na hofu imejitokeza Burundi kufuatia jaribio la kutaka kumuua mshauri mkuu wa Rais wa Burundi, Willy Nyamwite// Kamati Kuu ya chama tawala nchini Afrika Kusini cha ANC imeamua kwamba rais Jacob Zuma ataendelea kuwa kiongozi wa taifa hilo.