Umoja wa Ulaya umesema upo tayari kuwa mwangalizi wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020 nchini Tanzania, endapo watapata ridhaa kutoka katika mamlaka husika// Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi ameunda serikali yake iliyo na mawaziri 15