Miaka mitatu tangu kutangaza utawala wa kiislamu nchini Iraq na Syria, kundi linalojiita Dola la Kiislamu-IS sasa linabadili mbinu zake// Nchini Africa Kusini hasira zinaongezeka ndani ya chama tawala cha African National Congress// Somalia, Taifa linalokabiliwa na vita na machafuko hivi sasa linakabiliwa pia na kuvurugika kwa mfumo wa elimu.