Leo hii, waziri mkuu wa Uingereza Theresa May anawasilisha rasmi maombi ya nchi yake ya kujitoa katika Umoja wa Ulaya, Brexit, kama ilivyotajwa katika kifungu nambari 50 cha makubaliano ya Lisbon// Mzozo mkubwa kabisa wa kibinadamu duniani ambao haujashuhudiwa katika kipindi cha miaka sabini iliyopita umetangazwa katika nchi tatu za Afrika ambazo watu wake wako katika hatari ya kufa njaa.