Mwanasoka wa zamani wa kimataifa wa Liberia ameanza kutumiwa ujumbe wa kumpongeza hata kabla matokeo rasmi ya uchaguzi wa rais hayajatolewa// Rais wa Peru Pedro Pablo Kuczynski anazidi kukabiliwa na mgogoro juu ya uamuzi wake wa kumsamehe dikteta wa zamani Alberto Fujimori.