Marekani: Utafiti mpya unasema kuwa iwapo Trumpatashinda uchaguzi watu karibu milioni mbili watapoteza bima ya afya/ Wapiganaji wanaofuata itikadi kali za Kiislamu wameviharibu vituo vya turaathi muhimu za kitamaduni baada ya kuvitaja kwenda kinyume na mafundisho ya Uislamu/ Rwanda: Serikali imeanza mkakati kabambe wa kutoa mafunzo ya ufundi stadi kwa wakimbizi kwa ajili ya kujikimu