Nchini Kenya wakati taifa hilo liinapoadhimisha miaka 8 tangu kupitishwa katiba mpya, wadau bado wanatilia shaka utekelezwaji wa sheria za haki za kibinadamu pamoja na maadili katika uongozi// Huku kukiwa na uvumi kuhusu maandamano ya umma, wimbi jipya la kamatakamata limewalenga wanadiplomasia wa zamani na viongozi wa upinzani nchini Misri.