Papa Francis wiki hii atakuwa kiongozi wa pili wa Kanisa Katoliki kuizuru Misri baada ya marehemu Papa John Paul wa pili, wakati ambapo atakuwa anafanya ziara yenye lengo la amani katika nchi hiyo// Kura za mchujo nchini Kenya zimeshuhudia heka heka na vurugu katika sehemu nyingi nchini humo huku uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 8 ukikaribia.