UNICEF- Naibu katibu mkuu ameishutumu Urusi na Syria kwa kutumia mabomu na mbinu za kusababisha baa la njaa//Marais wa nchi za kanda ya maziwa makuu na wale wa jumuiya ya SADC wameunga mkono mkataba wa kisiasa ambao unaongeza muda wa rais Kabila// Umoja wa ulaya hii leo umefuta mkutano uliokuwa umepangwa kati yake na Canada, baada ya Ubelgiji kushindwa kutatuliwa mkwamo wake wa ndani.