Vyama vya upinzani nchini Tanzania vimelaani vikali kitendo cha kufunguliwa mashtaka ya ugaidi mwenyekiti wa chadema, Freeman Mbowe// nchini Kenya kiongozi wa Orange Democratic Movement, ODM Raila Odinga kulegeza msimamo na kuridhia kugawanya hela za vyama vya siasa na wenzake// Hali ya sintofahamu ya kisiasa inaendelea kushuhudiwa nchini Tunisia