Watu duniani kote leo wanayakumbuka maangamizi ya wayahudi yaliyofanywa na mafashisti wa kijerumani// Siku ya kumbukumbu ya wahanga wa mauwaji ya Januari 27 katika kisiwa cha Pemba huko Zanzibar ambayo ni ngome ya Chama cha wananchi CUF// Maradhi yanayoenezwa na mbu wenye virusi vya Zika huendaa yakasambaa kuliko ilivyotarajiwa