1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.12.2016 : Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S26 Desemba 2016

Wazamiaji wa Urusi wamepata mabaki ya ndege ya kijeshi iliyoanguka katika bahari nyeusi ikiwa na watu 92.//Maafisa nchini Syria wamewashutumu wapiganaji waasi kwa kuwauwa raia 21 mjini Aleppo.//Mwanadiplomasia wa zamani wa Marekani Dan Kurtzer ameshutumu lugha chafu ya waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu dhidi ya rais wa Marekani Barack Obama.

https://p.dw.com/p/2UtKf