Bunge la Ethiopia lilimchagua jana Alhamisi Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwananmke wa nchi hiyo// Wachambuzi wa masuala ya kimataifa wanasema mkasa wa kuuliwa kwa mwandishi habari Jamal Khashoggi utainufaisha Qatar ambayo mnamo miezi ya hivi karibuni imekuwa inavutana na Saudi Arabia.