Rais wa Marekani, Donald Trump leo anatarajiwa kuhutubia katika Kongamano la Kiuchumi Duniani linalofanyika mjini Davos, Uswisi// Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Nikki Haley amemlenga moja kwa moja kiongozi wa Palestina Mahmud Abbas pale alipolieleza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa kiongozi huyo anakosa ujasiri.