Wizara ya ulinzi ya Urusi inasema karibu wanajeshi mia tatu wa nchi hiyo wamewasili Syria leo Ijumaa chini ya makubaliano kati ya Uturuki na Urusi// Hii leo Israel na Jordan wamefikisha miaka 25 tangu wasaini mkataba wa amani unaojulikana kama Wadi Araba// Wadau wanaohusika na masuala ya wakimbizi wamezizungumzia changamoto zinazowakabili wakimbizi wa ndani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.