Leo ni mwaka mmoja tangu wananchi wa Tanzania walipopiga kura katika Uchaguzi Mkuu // Polisi wa Ujerumani wamevivamia vituo 12 wanakoishi wakimbizi, katika kila pembe ya nchi, kuwasaka watu wanaotuhumiwa kugharimia ugaidi// Mashirika ya kutoa misaada yamesema idadi ya wahamiaji na wakimbizi waliokufa maji katika bahari ya Meditarania inakaribia kufikia idadi jumla ya waliopoteza maisha mwaka jana.