Kikao cha hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa kimefunguliwa rasmi kwa hotuba ya katibu mkuu wa Umoja huo Antonio Guterres mjini New York// Chama kikuu cha upinzani nchini Uengereza-Labour, kinasema kitapinga pendekezo lolote la waziri mkuu Theresa May kuhusu mkataba wa kujitoa katika umoja wa Ulaya Brexit, litakapofikishwa bungeni kupigwa kura.