Chama cha Social Democratic-SPD kinataka kujifanyia marekebisho kwa kukalia viti vya upinzani// Wimbi la kamatakamata ya jeshi la polisi dhidi ya wapinzani nchini Tanzania linaendelea// Wakaazi wa jimbo la wakurdi Kaskazini mwa Iraq wanaendelea kupiga kura ya maoni iliyoandaliwa na utawala wa jimbo hilo.