Katika mkutano wa dharura ulioitishwa mjini Vienna, Austria, Iran imesema itajitoa katika makubaliano ya nyuklia na nchi zenye nguvu duniani// Jeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linasema limewaua zaidi ya waasi ishirini katika mapambano na kundi la ADF.