1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.03.2022 Taarifa ya habari ya Asubuhi

25 Machi 2022

Kiongozi wa jimbo la Hirshabelle, Ali Gudlawe Hussein, amesema idadi ya waliokufa kutokana na mashambulizi mawili yalitokea katika karibu kipindi kimoja huko katikati ya Somalia imeongezeka na kufikia watu 48.

https://p.dw.com/p/490x1