Kiongozi wa chama cha Social Democratic Union, SPD nchini Ujerumani Sigmar Gabriel amesema hatogombea wadhifa wa ukansela/ Serikali ya Uingereza imetakiwa kuwasilisha mswada bungeni kabla ya kuanzisha mchakato wa kujiondoa katika Umoja wa Ulaya/ Na mabingwa watetezi wa Kombe la Mataifa ya Afrika Cote d'Ivoire wamebanduliwa nje ya michuano inayoendelea nchini Gabon