Ufaransa imeanza kuwaondoa wahamiaji waliopo katika kambi ya Calais kwa lengo la kuifunga kambi hiyo ya porini// Wapiganaji wa kikosi cha Kikurdi - Peshmerga pamoja na vikosi vya Iraq vimesonga mbele kuukaribia mji wa Mosul// Chaguzi za kuwania umeya wa Halmashauri za Manispaa za Kinondoni na Ubungo, jijini Dar es Salaam, Tanzania jana ziligubikwa na mabishano ya kikanuni na sheria.