Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amepuuza miito ya kujiuzulu, baada ya uamuzi wa mahakama ya juu zaidi// Wawakilishi wa waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na mpinzani wake mkubwa Benny Gantz wamekutana hii leo// Serikali ya Ghana imesema, taasisi za ulinzi zimefanikiwa kupangua jaribio la kuipindua serikali lililokuwa limekusudiwa ili kudhoofisha nchi.