Maelfu ya raia wakimbia mashambulizi Idlib// DR Congo- Makundi 32 ya wapiganaji Mai-Mai yanakusudia kusitisha mapigano kuanzia leo Desemba 23 katika mkoa wa Kivu Kusini ili kutoa fursa kwa juhudi za amani// Wakaazi katika kaunti ya Isiolo nchini kenya, wameitaka idara ya jeshi nchini humo kusitisha mpango wa kutaka kujenga kambi tatu za maafisa wa jeshi katika jimbo hilo.