Angola leo hii inafanya uchaguzi wa wabunge unaotarajiwa kumuingiza madarakani waziri wa ulinzi wa chama tawala nchini humo Joao Lourenco// Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa kuanzia leo magazeti yote yanayochapishwa nchini humo yanapaswa kusajiliwa upya// Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameamuru taasisi ya jeshi inayounda silaha nchini mwake kuunda roketi zaidi zenye nguvu.