Matangazo
Miongoni mwa yaliyomo kwenye Matangazo ya jioni:
Erdogan awasili Jeddah kujaribu kutafuta suluhisho la mzozo wa Qatar na nchi za Ghuba
Jumuiya ya nchi za Kiarabu yaionya Israel kuhusu mzozo wa Jerusalem
Wayemeni laki sita wako hatarini kuambukizwa kipindupindu ifikapo mwisho wa mwaka huu
Kamanda wa waasi Libya kukutana na Waziri Mkuu wa Libya Fayez al Serraj mjini Paris katika juhudi za kumaliza mgogoro unaokumba Libya