Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ameahidi jana kwamba raia wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya hawatofukuzwa mara baada ya Uingereza kujitoa katika umoja huo mwaka 2019// Rais wa Marekani Donald Trump, amesema hakurekodi mazungumzo yake na mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Upelelezi la Marekani, FBI James Comey.