Nchini Tanzania rais John Pombe Magufulli amefanya mabadiliko madogo katika baraza lake la Mawaziri// Polisi wa nchini Uingereza wamesema wanaamini kwamba mashambulizi ya jana yanahusiana na ugaidi unaofanywa na makundi yenye itikadi kali za Kiislamu// Viongozi wa dunia wameungana pamoja kulaani shambulio lililofanywa katikati mwa jiji la London jana.