Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga kura kwa wingi kupinga hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kuitambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel// Majaji wa kukabiliana na ugaidi wamekamilisha uchunguzi wao wa lile shambulizi la kombora lililosababisha mauaji ya halaiki ya mwaka 1994 nchini Rwanda.