Macron amepinga mapendekezo ya Johnson kufungua upya majadiliano ya Brexit, akisema hilo ni suala lisilokuwepo kwa sasa//Makubaliano ya kuondoa uhasama kati ya Rwanda na Uganda yaliyosainiwa na marais wa nchi hizo mbili yameleta afueni na furaha kubwa kwa raia wa nchi hizo