Tanzania leo (22.05.20) inaanza maombi ya siku tatu kumshukuru Mungu katika kile kinachoelezwa mafanikio ya kulidhibiti janga la virusi vya corona// Virusi vya corona vyazua wasiwasi Mashariki ya Kati, huku wahudumu wa afya 10,000 wapata maambukizi Iran