Padri aliyeongoza shughuli ya kuuaga mwili wa msichana Akwilina aliepigwa risasi katika maandamano ya viongozi na wafuasi wa chama cha upinzani nchini tanzania, chadema, amemtaka alietekeleza shambulio hilo kutoka hadharani na kuliomba msamaha taifa// Marais wa jumuiya ya Afrika Mashariki wameonya watumishi katika jumuiya hiyo kuondokana tabia za ufisadi, uzembe na utawalamsonge/bureaucracy.