Tangazo la Tume ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, CENI kwamba imeahirisha uchaguzi linaendelea kuwagawa wakaazi wa mashariki mwa taifa hilo la Afrika ya Kati// Tanzania-Mwenyekiti wa chama cha upinzani, CHADEMA Freeman Mbowe pamoja na Esther Matiko wamerejeshwa rumande hadi Januari 3// Waziri wa Ulinzi wa Marekani Jim Mattis amejiuzulu baada ya kuzozana na Rais Donald Trump.