Kampeni ya uchaguzi mkuu nchini Kongo itamazikia leo usiku, huku wagombea na wapigakura wakitakiwa kusubiri kupiga kura Desemba 30 ijayo// Rais wa zamani Andry Rajoelina anaongoza dhidi ya mpinzani wake Marc Ravalomanana katika kinyang'anyiro cha kuwania kiti cha rais wa Madagascar// Idadi ya watu waliokufa yaongezeka na kufikia watu tisa huko nchini Sudan.