Wakaazi wa Beni wamegoma kufanya kazi leo, baada ya vijana kuweka vizuizi barabarani kwa ajili ya shughuli ya mazishi ya watu waliouawa na ADF katika mji wa Beni juzi// Leo inatimia miaka miwili kamili tangu mwandishi wa habari Azory Gwanda atoweke katika mazingira ya kutatanisha nchini Tanzania.