1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi

Daniel Gakuba
21 Novemba 2016

21.11.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi

https://p.dw.com/p/2SzDn

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ametangaza nia ya kugombea muhula wa nne wa uongozi, Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy abwagwa katika uchaguzi wa mchujo wa chama cha kihafidhina, na idadi ya waliouawa katika ajali mbaya ya treni nchini India imepanda na kufika watu 119.