Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekamilisha mkutano wao wa siku mbili mjini Brussels// Usitishaji mapigano katika jimbo la Aleppo kaskazini mwa Syria uliotangazwa na Urusi unatajwa kuendelea// Donald Trump atayakubali matokeo ya uchaguzi wa hapo Novemba 8 kama tu atashinda// Benki Kuu ya Uganda imechukua uongozi, uendeshaji na usimamizi wa Benki ya Crane.