Serikali ya Tanzania imewataka wafanyakazi wa kigeni wa kampuni ya uchimbaji wa madini ya Acacia kuondoka nchini humo// Kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, MONUSCO, kimetangaza hatua ya kuzifunga kambi zake tano katika mkoa wa Kivu Kaskazini.